Responsive image
Responsive image
Posted : May 04, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Wakati mvua zikiendelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam , biashara ya mahindi ya kuchoma imezidi kushamiri
Responsive image

Wakati mvua zikiendelea kunyesha katika jiji la Dar es salaam , biashara ya mahindi ya kuchoma imezidi kushamiri ambapo katika soko la Temeke Stereo mamia ya wachoma mahindi hufurika kujipatia bidhaa hiyo.

TBC ilitembelea katika soko hilo na kujionea wafanyabiashara wa kuchoma mahindi wakinunua mahindi kutoka kwenye malori yaliyofika sokoni hapo huku wakisema kuwa mahindi hayo yanatoka mkoani Iringa na mbegu yake ni mahususi kwa kuchoma.

Baadhi ya akina mama wanaofanyabiashara hiyo wameziomba taasisi za fedha kutembelea katika soko hilo na kuwapatia mikopo wakiwa katika vikundi vyao ili kuwaongezea mitaji ya kupanua biashara zao

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI
Ladies Fashionamos gaston  |  11 months ago   |   May 17, 2017
"Na shamba heka mbili za mahindi mabichi lipo chanika-mvuti natafuta wateja"
Ladies Fashionemmanuel.maduhu  |  9 months ago   |   July 11, 2017
"hongera waziri mkuu kwa uzinduzi huo wa mradi wa umeme"

Leave Your Comment