Responsive image
Responsive image
Posted : April 26, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
kilo moja ya nyama inauzwa kati ya shilingi 5000 mpaka 3500 kwa bei ya jumla.katika machinjio ya vingunguti jijini Dar es salaam
Responsive image

Upatikanaji wa ng’ombe kwa wingi  kutoka mikoani kumepelekea bei ya nyama katika machinjio  ya vingunguti jijini Dar es salaam kuimarika na  kilo moja inauzwa kati ya shilingi 5000 mpaka 3500  kwa bei ya jumla.

Wakizungumza na mwandishi wa TBC machinjioni hapo baadhi ya wafanyabiashara wamebainisha kuwa toka mwezi January upatikanaji wa ng’ombe umeongezeka na kusababisha kutokuwa na mabadiliko ya bei ya nyama kwa miezi mitatu mfululizo.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment