Responsive image
Responsive image
Posted : April 24, 2017 (10 months ago) By TBC
Responsive image
Ni matarajio ya Shirika la Reli Tanzania kujiendesha kibiashara
Responsive image

Shirika la Reli Tanzania TRL imepata zabuni ya kusafirisha tani 7000 za mahindi kutoka Dar es salaam  kwenda katika ghala kuu la Shirika la Chakula Duniani lililoko Kizota  mjini Dodoma

Akizindua usafirishaji wa mahindi hayo,  Mkurugenzi  Mtendaji  wa TRL,  Masanja Kadogosa  amesema zabuni hiyo italiwezesha  Shirika hilo kutumia treni  TISA na mapato yatakayopatikana katika zabuni hiyo yataliwezesha shirika hilo kujiendesha  kibiashara.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment