Responsive image
Responsive image
Posted : April 24, 2017 (10 months ago) By TBC
Responsive image
katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi –NEEC-Beng’I Issa
Responsive image

Mifuko ya uwezeshaji wananchi kiuchumi inampango wa kutoa elimu  katika mikoa yote nchini ili watanzania waweze kuifahamu mifuko hiyo na jinsi ya kuitumia katika shughuli za kiuchumi.

Akizungumza kwenye hafla ya kufunga maonesho ya mifuko hiyo mjini Dodoma, katibu mtendaji wa Baraza la Taifa la Uwezeshaji Wananchi Kiuchumi –NEEC-Beng’I Issa amesema elimu hiyo itawawezesha watanzania kuitumia mifuko hiyo kikamilifu katika kupata huduma mbalimbali za ujasiriamali ikiwemo mikopo.

Naye Mwakilishi wa Katibu Tawala Mkoa wa Dodoma, Hemed Sebastian amesema maonyesho hayo   yamekuwa kichocheo kwa wakazi wa kanda ya kati katika kutafuta fursa za kuanzisha miradi ya  kiuchumi.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI
Ladies Fashion  |  10 months ago   |   May 04, 2017
"Enter your MessageNAOMBEN NAMI ANGALAU MUWEZE KUNIXHIRIKIXHA NANIWEZE KUJA KUJUMUIKA NANYI KWA KAZ ZAUJAXIRIAMAL WA TAIFA"

Leave Your Comment