Responsive image
Responsive image
Posted : April 21, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Mwenge wa Uhuru ukiendelea na mbio zake Mkoani Mbeya
Responsive image

Wakati Mwenge wa Uhuru ukiendelea na mbio zake Mkoani Mbeya, mmoja wa wakimbiza mwenge Bahati Lugodisha amesema hawatasita kuikataa miradi iliyotekelezwa chini ya kiwango.

Lugodisha  ametoa kauli hiyo wakati  akitoa  ujumbe wa Mwenge wa Uhuru katika Kijiji cha Kisegese katika Halmshauri ya Wilaya ya Busokelo mara baada ya kuzindua miradi ya maji na madaraja.

Mradi  mwingine uliozinduliwa ni mradi wa ujenzi wa madaraja makubwa manne na barabara ya Kisegese-Kasyabone uliogharimu zaidi ya Shilingi Milioni 998 ili kuondoa adha kwa wananchi.

Mwenge utamalizia mbio zake katika Halmashauri ya Wilaya ya MBEYA na Mbarali kabla ya kuingia Mkoani IRINGA tarehe 23 mwezi huu.

 

 

ADOLF MBATA

APRILI 21, 201

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI
Ladies FashionJAILOS JOHN LUHANGA  |  one year ago   |   April 25, 2017
"Hongera Tbc Kwa Habari Zenu Za Uhakika, Mungu Ibariki Tbc Mungu Ibariki Tanzania.Umoja Na Mshikamano Ndio Nguzo Ya Taifa Letu. "

Leave Your Comment