Responsive image
Responsive image
Posted : April 21, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
polisi Venezuela wakiendelea kupambana waandamaji
Responsive image

Polisi katika Mji Mkuu wa Venezuela, Caracas wameendela kutumia mabomu ya machozi na risasi za mpira kuwazuaia waandamanaji ambao wanaendelea kuipinga serikali ya Rais Nicolas Maduro.

Waandamanaji hao walioficha nyuso zao wamewarushia polisi mawe na mabomu yaliyotengenezwa kwa petroli.

Maandamano hayo yameendelea katika maeneo ya mashariki mwa mji wa Caracas ambako ndiyo ngome kuu ya upinzani nchini Venezuela.

Upande wa Upinzani pamoja Wanaharakati nchini  Venezuela wanakasirishwa na hatua ya kuzorota kwa hali ya uchumi na hivyo kutaka kufanyika kwa  uchaguzi mkuu.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment