Responsive image
Responsive image
Posted : April 21, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Hassan Rouhani mmoja wa wagombea urais nchini Iran
Responsive image

Rais wa Iran, Hassan Rouhani na mwanasiasa mwenye msimamo mkali nchini humo  Ebrahim Raisi wameidhinishwa kuwania uchaguzi wa urais mwezi ujao Mei mwaka huu  nchini humo.

Hata hivyo Rais wa zamani wa nchi hiyo Mahmoud Ahmadinejad amezuiliwa kuwania kiti hicho.

Mshirika wa karibu wa Ahmadinejad, -  Hamid Baghaie pia amezuiwa kugombea urais.

Kuidhinishwa kwa Rouhani  kuwania kiti hicho kunatarajiwa kusababisha mvutano mkali wa kisiasa kati ya kambi zao.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment