Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
mabomba ya kusambaza gesi asilia utasadia kupunguza uharibifu wa mazingira.
Responsive image

Shirika la Maendeleo ya Petroli Tanzania TPDC inatarajia kutekeleza awamu ya pili ya usambazaji wa gesi asilia kwa matumizi ya majumbani,viwandani,maofisini na kwenye magari jjini Dar es salaam.

 Akizungumza jijini Dar ves salaam ,Kaimu Mkurugenzi wa TPDS Kapulya Msomba amesema katika awamu hii nyumba  elfu 30 zitanufaika na mradi huo ambao kukamilia ndani ya miaka miwili.

Aidha Msomba ametaja mikoa mingine itakayonufaika na usambazaji wa gesi asilia ni pamoja na mkoa wa Pwani, Lindi na Mtwara.

Kufuatia hatua baadhi ya wakazi wa jiji la Dar es salaam wamesema kukamilika kwa usambazaji wa ujenzi wa mtandao wa mabomba ya kusambaza gesi asilia utasadia kupunguza uharibifu wa mazingira.

Mradi wa ujenzi wa mtandao wa mabomba ya kusambaza gesi asilia utatekelezwa pia katika mikoa ya Tanga, Morogoro na Dodoma ifikapo mwaka 2022.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment