Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
Responsive image

Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya amesema utamaduni wa vurugu na vitendo vilivyoko kinyume na maadili, havitaruhusiwa wakati wa uchaguzi mkuu wa nchi hiyo unatarajiwa kufanyika mwezi Oktoba mwaka huu.

Akizungumza na wanachama cha Chama Tawala cha Jubileee, Rais Kenyatta amesema serikali yake imejiandaa kusimamia utawala wa sheria na kulinda amani ikiwa ni pamoja na usalama wa raia kutoka katika kada mbalimbali.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment