Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
kukimbia ni njia mojawapo ya kupiga vita magonjwa ya kuambukiza
Responsive image

Wakazi wa jiji la Dar es salaam wameshauriwa kushiriki mbio za Heart Marathon zilizopangwa kufanyika jijini Dar es salaam Aprili 26 ili kuimarisha afya zao.

Katibu mkuu msaidizi wa Chama cha riadha Tanzania Oben Zavalla amesema wanariadha watakaofanya vyema katika mashindano watachaguliwa kuunda timu ya taifa ya riadha ya Tanzania.

Mbio hizo zitakua za kilometa 21 ,Kilometa 10 na Kilometa tano na zitashirikisha zaidi wa washiriki 2000.

Hii ni mara ya pili kufanyika mbio hizi zenye lengo la kupiga vita magonjwa ya kuambukiza kama vile presha, kisukari na mengineyo

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment