Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Madawa ya kulevya huathiri nguvu ya taifa
Responsive image

Halmashauri ya Wilaya ya Kyela Mkoani Mbeya pamoja na Taasisi  ya Vijana inayojishughulisha na udhibiti wa matumizi ya dawa za kulevya ijulikanayo kama “Struggle  For Youth Changes” wamefanikiwa kuwatambua na kuwaondoa vijana 69ambao walikuwa wakitumia dawa za kulevya.

Vijana hao wametoa ushuhuda wa matumizi ya dawa hizo kwa Kiongozi wa Mbio za Mwenge wa Uhuru, Amour Hamad Amour mara baada kukizindiua kikundi hicho ambacho kimekuwa cha wajasiliamali.

Waathiriwa wa dawa hizo ambao sasa wanadai kuachana nazo wanasema wanaishukuru Serikali ya Awamu ya Tano kukabiliana kwa nguvu zote juu ya dawa hizo.

 

 

ADOLF MBATA

APRILI 20, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment