Responsive image
Responsive image
Posted : July 20, 2017 (7 months ago) By TBC
Responsive image
Rais John Maguful
Responsive image

Rais John Magufuli amewataka wakimbizi kutoka nchini Burundi kurejea nchini kwao kwaajili kujenga taifa kwani kwa sasa nchi hiyo ina amani ya kutosha.

Akizungumza  wilayani  Ngara mkoani Kagera kwenye ziara yake mkoani humo Rais Magufuli amesema Burundi kwa sasa ina amani yakutosha.

Aidha Rais Magufuli amesema katika kukuza ushirikiano na biashara tayari serikali ipo katika mpango wakujenga reli ya kisasa standard gauge kutoka DSM kuunganisha Burundi na Rwanda 

 

                          

 FLORENCE   MAVINDI

JULAI 20, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment