Responsive image
Responsive image
Posted : July 16, 2017 (8 months ago) By TBC
Responsive image
Responsive image

Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Dkt. Harrison Mwakyembe amepatwa na msiba wa mke wake Bi. Linah George Mwakyembe kilichotokea usiku wa tarehe 15 Julai 2017.

 

Kwa mujibu wa taarifa kutoka Wizara ya Habari Sanaa Utamaduni na Michezo mke wa Dkt. Mwakyembe alikuwa amelazwa katika hospitali ya Aga Khan alipokuwa akipatiwa matibabu.

 

Shughuli za maandalizi ya mazishi zinafanyika nyumbani kwa Waziri Mwakyembe Kunduchi Jijini DSM Karibu na Chuo cha Mafunzo ya Kijeshi.

 

 

TAARIFA

JULAI 16,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment