Responsive image
Responsive image
Posted : July 16, 2017 (8 months ago) By TBC
Responsive image
Naibu waziri wa nishati na madini Dkt.Medard Kalemani (koshoto)
Responsive image

Naibu waziri wa nishati na madini Dkt..Medard Kalemani ameagiza awamu ya tatu ya mradi wa kusambaza huduma ya umeme vijijini mkoani mwanza ukamilike ndani ya muda wa miaka miwili ili kuwezesha vijiji 343 vya mkoa huo kuondokana na tatizo la ukosefu wa nishati hiyo.

 

Akizindua utekelezaji wa mradi huo wa REA awamu ya tatu katika kijiji cha nyamatale wilayani kwimba,Dkt.Kalemani amewataka wakandarasi wanaohusika na usambazaji wa umeme kuhakikisha kuwa taasisi za serikali zikiwemo shule,miradi ya maji na afya zinanufaika na nishati hiyo.

 

 

REGINALD NDESIKA,

JULAI 16,2017

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment