Responsive image
Responsive image
Posted : July 16, 2017 (8 months ago) By TBC
Responsive image
Mpunga
Responsive image

Wakulima wa zao la Mpunga nchini wameshauriwa kutumia mbegu za Mpunga aina ya SARO zilizofanyiwa utafiti na kituo cha Kilimo cha Cholima kilichopo Dakawa mkoani Morogoro ambazo zimetajwa kustawi vizuri na kustahimili ardhi yenye magadi chumvi, tofauti na mbegu za asili ambazo zimekuwa zikitumiwa na wakulima wengi wa zao hilo.

 

Akizung​u​mza wakati wa ukaguzi wa mashamba darasa ya mpunga yaliyopo wilayani Mvomero mkuu wa kituo cha utafiti Cholima , Sophia Kashenge amesema kuwepo kwa kituo hicho ni fursa  kwa wakulima  wadogo  katika kuongeza  uzalishaji wa zao hilo.

 

 

GHANIA JUMBE

JULAI 16,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment