Responsive image
Responsive image
Posted : July 15, 2017 (8 months ago) By TBC
Responsive image
Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa – NECTA, Dkt. Charles Msonde
Responsive image

Matokeo ya mtihani wa kidato cha sita yametangazwa hii leo ambapo wasichana wameonekana kuongoza kwa ufaulu.

Akitangaza matokeo hayo Katibu Mtendaji wa Baraza la Mitihani la Taifa – NECTA, Dkt. Charles Msonde ametangaza shule iliyoongoza ni shule ya sekondari ya wasichana ya Feza nafasi ya pili ikishikwa na shule ya sekondari ya wavulana ya Marian na nafasi ya tatu ikishikiliwa na shule ya sekondari ya Kisimiri.

 

Taarifa

Julai 15,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment