Responsive image
Responsive image
Posted : July 13, 2017 (10 months ago) By TBC
Responsive image
Wananchi wilayani Kilosa.
Responsive image

Mkuu wa mkoa wa Morogoro Dkt Kebwe Stephen Kebwe ameviagiza vyombo  vya  ulinzi na  usalama mkoani humo kuwatafuta baadhi ya viongozi wa kimila wa wafugaji wa jamii ya kimasai wanaochangia kuwatorosha watoto wa kike shule.

 

Dkt Kebwe ametoa agizo hilo wilayani Kilosa  wakati alipotembelea  shule ya sekondari  Parakuyo  na kusomewa taarifa iliyoonyesha kuwa  Wanafunzi  12  wameshindwa kuendelea na masomo kutokana na sababu mbalimbali  ikiwemo  ndoa ,mimba za utotoni  na utoro.

     

 

MONICA LIAMPAWE

JULAI 13,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment