Responsive image
Responsive image
Posted : July 13, 2017 (9 months ago) By TBC
Responsive image
Waziri Mkuu wa zamani na mjumbe wa kamati kuu wa CHADEMA, Edward Lowassa
Responsive image

Ofisi ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali leo imeahirisha mahojiano na Waziri Mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu  wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo – CHADEMA,  -Edward Lowassa hadi  Alhmisi ya wiki ijayo.

 

Mwanasheria wa CHADEMA, -Peter Kibatala amesema kuwa wamejipanga kwa mahojiano hayo wiki ijayo.

 

Wiki chache zilizopita Lowassa aliitwa kwenye Ofisi ya Mwendesha Mashitaka wa Serikali kufuatia kauli aliyoitoa katika futari iliyoandaliwa na mbunge wa Ukonga, -Mwita Waitara.

 

 

 

DOREEN MLAY

JULAI 13,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment