Responsive image
Responsive image
Posted : July 13, 2017 (10 months ago) By TBC
Responsive image
Rais wa zamani wa Brazil, - Lui Lula de Silva
Responsive image

Rais wa zamani wa Brazil, - Lui  Lula de Silva ametangaza kuwa atakata rufaa dhidi ya hukumu iliyotolewa na mahakama nchini humo ya kifungo cha miaka tisa jela baada ya kupatikana na hatia ya ubadhilifu wa mali ya umma na utakatishaji fedha.

 

De Silva anasema kesi yake imehamasishwa kisiasa na hivyo atakata rufaa ili kusafisha jina lake kwani ana mpango wa kuendelea na harakati zake za kisiasa katika uchaguzi mkuu ujao wa nchi hiyo.

 

 

 

NYAMBONA MASAMBA

JULAI 13, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment