Responsive image
Responsive image
Posted : July 06, 2017 (11 months ago) By TBC
Responsive image
Marehemu Shaaban Dede.
Responsive image

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi SHAABAN DEDE amefariki dunia leo asubuhi katika Hospitali ya Taifa MUHIMBILI jijini DSM alikokuwa amelazwa kwa matibabu.

 

Mipango ya mazishi inafanywa nyumbani kwa marehemu MBAGALA, jijini DSM.

 

Katika uhai wake DEDE, amewahi  kuimba kwenye bendi za MSONDO NGOMA, MLIMANI PARK,BIMA LEE, TABORA JAZZ, SAFARI SOUND OCHESTRA - OSS na JUWATA JAZZ.

 

Vibao alivyowahi kutamba navyo ni pamoja na TALAKA REJEA,KAULI YAKO NIMEISIKIA na SAUDA

 

Marehemu DEDE alizaliwa mwaka 1959  mkoani KAGERA.

 

 

ALPHA WAWA

06 JULAI 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment