Responsive image
Responsive image
Posted : June 26, 2017 (9 months ago) By TBC
Responsive image
Ajali ya moto moto wa lori la kusafirisha mafuta nchini Pakistan imesababisha watu mia moja na hamsini na watatu kufariki nchini Pakistan.
Responsive image

Idadi ya watu waliokufa kutokana na moto wa lori la kusafirisha mafuta nchini Pakistan imefikia mia moja na hamsini na watatu -153.

 

Habari zinasema kuwa watu wengine wamelazwa hospitali wakiwa katika  hali za mbaya kufuatia moto huo.

 

Lori hilo lililokuwa limebeba lita elfu arobaini -40,000 za mafuta lilipata ajali katika barabara kuu ya kutoka Karachi kuelekea Lahore.

 

 

NYAMBONA MASAMBA

JUNI 26,2017

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment