Responsive image
Responsive image
Posted : June 19, 2017 (10 months ago) By TBC
Responsive image
Naibu Waziri wa Kilimo na Mifugo na Uvuvi Tate Willium Ole Nasha wakati akijibu swali bungeni
Responsive image

Serikali imesema itaendelea kuongeza bajeti ya ugani katika wizara ya Kilimo na Ufugaji ili tafiti mbali mbali zinazofanywa kutoa majibu   kwa wakati.

Hayo yamebainishwa na Naibu Waziri wa Kilimo na Mifugo na Uvuvi Tate Willium Ole Nasha wakati akijibu swali bungeni kuhusu tafiti na elimu kwa wafugaji katika kufikia uchumi wakati.

Kwa upande wake Naibu Waziri wa Maji na Umwagiliaji Mhandisi Isack Kamwele amesema serikali imetenga bajeti kwa kila halmashauri ili katika kila kijiji na kitongoji kupata maji safi na salama.

 

 

Darlin Said

Juni 19,2017

======

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment