Responsive image
Responsive image
Posted : June 19, 2017 (10 months ago) By TBC
Responsive image
Kiungo wa zamani wa timu ya Newcastle United na timu ya Taifa ya Ivory Coast Cheki Tiote aliefariki dunia nchini China amezikwa kwenye mji wa kibiashara wa Abidjan.
Responsive image

Kiungo wa zamani wa timu ya Newcastle United na timu ya Taifa ya Ivory Coast Cheki Tiote aliefariki dunia nchini China amezikwa kwenye mji wa kibiashara wa Abidjan.

Tiote aliyekuwa akiichezea timu ya Beijing Enterprises alikutwa na mauti wakati akiwa mazoezi.

Maziko hayo yamehuhuriwa na waziri mkuu wa nchi hiyo Amadou Gon Coulibaly, waziri wa michezo Albert Amichia na rais wa shirikisho la  soka la nchi hiyo Augustin Sidy Diallo huku baadhi ya nyota  wa soka wa nchi hiyo wakiwemo Salomon Kalou  pamoja na mshambuliaji anaecheza soka England Wilfred Bony ambapo wachezaji wote waliweza kuelezea maskitiko ya kifo hicho na  namna walivyocheza na marehemu katika michezo mbali mbali.

Asher Thomas

Juni 19,2017

==

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment