Responsive image
Responsive image
Posted : June 19, 2017 (10 months ago) By TBC
Responsive image
Bw. Fredrick Mwakalebela, akionesha fomu za kuwania nafasi ya Uraisi wa shirikisho hilo katika uchaguzi mkuu ujao.
Responsive image

Wakati zoezi la uchukuaji fomu za uchaguzi  linatarajiwa kukamilika hapo kesho vigogo wa zamani wa shirikisho la soka hapa nchini TFF, Athuman Nyamlani na Fredrick Mwakalebela, wamechukua fomu za  kuwania nafasi ya Uraisi wa shirikisho hilo katika uchaguzi mkuu ujao.

Uchaguzi mkuu wa TFF utafanyika August 12 huko mkoani Dodoma ambapo hadi sasa jumla ya watu watano wamechukua fomu za kuwania nafasi ya Urais.

 

Asher Thomas

Juni 19,2017

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment