Responsive image
Responsive image
Posted : June 17, 2017 (11 months ago) By TBC
Responsive image
aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Yanga​,Iman Madega
Responsive image

Wagombea mbalimbali wameanza kujitokeza kuchukua fomu za kuwania nafasi za uongozi ndani ya shirikisho la soka hapa nchini TFF katika uchaguzi uliopangwa kufanyika Augost12 mwaka huu mjini Dodoma.

Miongoni mwa waliochukua fomu ni Rais wa shirikisho hilo Jamal Malinzi anayetetea kiti chake pamoja na aliyewahi kuwa katibu mkuu wa FAT, Michael Wambura huku msemaji wa TFF Alfred Lucas akisema walioko mikoani fomu zinapatikana kwa njia ya mtandao .

  aliyewahi kuwa mwenyekiti wa Yanga​,Iman Madega naye amechukua fomu ya kugombea nafasi ya ​uenyekiti.

 

Asher Thomas

Juni 17,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment