Responsive image
Responsive image
Posted : June 17, 2017 (11 months ago) By TBC
Responsive image
aliyekuwa mwenyekiti wa timu ya yanga Yusuph Manji
Responsive image

Uongozi wa timu ya Yanga umesema bado haujapokea barua rasmi ya kurejea kwa aliyekuwa mwenyekiti wa timu hiyo Yusuph Manji aliyejiuzulu mwenzi uliopita baada ya kushauriwa na daktari wake.

Katibu mkuu wa Yanga Charles Mkwasa ameiambia TBC kuwa mpaka sasa hawana taarifa rasmi ya kurejea kwa Manji na pindi watakapopata barua rasmi wataweka wazi .

Klabu ya Yanga kwa sasa ipo katika harakati za usajili wa wachezaji wapya pamoja na kuwaongezea mikataba wachezaji wao muhimu ambao mikataba yao inaelekea ukingoni.

 

Asher Thomas

Juni 17,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment