Responsive image
Responsive image
Posted : June 08, 2017 (10 months ago) By TBC
Responsive image
Uchafuzi wa mazingira ya bahari
Responsive image

Baadhi ya mataifa ambayo yana rekodi mbaya zaidi ya uchafuzi wa mazingira ya bahari kutokana na plastiki yamehaidi kuanza kuchua hatua ya kufanyia usafi maeneo yao ya bahari.

 

Wawakilishi kutoka nchi za China,Ufilipino,Indonesia na Thailand katika kongamano la Umoja wa Mataifa linaloangazia hali ya bahari duniani wamesema watafanya juhudi kubwa kuondoa taka za plastiki kwenye bahari.

 

Utafiti wa hivi karibuni umethibitisha kuwa taka za plastiki zina athari kubwa viumbe wa baharini ambapo nyingi zinatoka katika mikondo ya mito mikuuu 10 barani Asia.

 

 

MARY MNDEME

JUNI 08,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment