Responsive image
Responsive image
Posted : June 05, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Polisi mjini London.
Responsive image

Idadi ya watu waliokamatwa na polisi kwa tuhuma za kuhusika na shambulio la kigaidi lililotokea mjini London nchini Uingereza jana, imefikia watu kumi na wawili.

 

Miongoni mwa watu hao ni pamoja na wanawake wanne. Polisi wanaendelea na msamko dhidi ya watu waliohusika na shambulio hilo, huku doria ikiendelea mjini London na katika maeneo mengine ya nchi hiyo.

 

 

NYAMBONA MASAMBA

JUNE 05,2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment