Responsive image
Responsive image
Posted : May 21, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Serengeti Boys kuonyeshana ubabe na timu ya taifa ya Niger leo
Responsive image

Timu ya Taifa ya Tanzania ya vijana wenye umri chini ya miaka 17 Serengeti Boys kushuka dimbani leo kumenyana na timu ya taifa ya Niger katika mchezo wa mwisho wa kuwania kufunzu kwa kwa fainali ya michuano  ya Afrika kwa vijana.

Serengeti Boys inashuka dimbani bila nahodha wake, Issa Makamba ambaye amerejea nyumbani baada ya kuumia

 

 

 

 

 

 

 

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment