Responsive image
Responsive image
Posted : May 19, 2017 (11 months ago) By TBC
Responsive image
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Paul Makonda
Responsive image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam , Paul Makonda amewataka watumishi katika Idara ya Ardhi katika Halmashauri zote za Mkoa wa Dar es salaam kuamua kutumikia sehemu moja ya kazi kama ni kampuni zao binafsi ama ajira ya serikali.

Akizungumza na watumishi wa Halmashauri ya Jiji la Dar es salaam  Idara ya Ardhi Makonda amesema changamoto nyingi za idara hiyo zinachangiwa na watumishi kushindwa kutekeleza majukumu yao na badala yake kujali ofisi zao binafsi.

Mkuu wa Mkoa wa DSM amewataka wasimamizi wa ardhi Mkoa wa DSM kuhakikisha maeneo yote ya wazi yanabaki salama kwa lengo lililokusudiwa.

 

NORA ULEDI

MEI 19,2017

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment