Responsive image
Responsive image
Posted : March 23, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Kamishna wa kodi za ndani wa TRA, Elijah Mwandumbya.
Responsive image

Mamlaka ya mapato nchini TRA imewatahadharisha wananchi wanaomiliki majengo ya biashara na makazi kulipa kodi kwa hiyari kwa maendeleo ya taifa.

 

Kamishna wa kodi za ndani wa TRA Elijah Mwandumbya ameyasema hayo jijini DSM na kusisitiza licha ya kushirikiana na mabaraza ya madiwani kupanga viwango vya kulipa kodi bado kazi hiyo inasuasua.

 

Aidha Mwandumbya amesema viwango walivyopanga sio kiasi kikubwa hasa katika majiji, manispaa na miji ambapo hulipa kati ya shilingi elfu mbili hadi elfu kumi na tano kwa jengo kwa mwaka.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment