Responsive image
Responsive image
Posted : March 23, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Rais, Dkt. JOHN MAGUFULI
Responsive image

Rais Dkt. JOHN MAGUFULI, amefanya mabadiliko madogo katika Baraza la Mawaziri.

 

Katika Mabadiliko hayo, Rais MAGUFULI amemteua Prof. Palamagamba Kabudi kuwaWaziri wa Katiba na Sheria.

 

Aidha, Rais Magufuli amemteua Dkt. HARRISON MWAKYEMBE kuwa Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

 

Uteuzi huu unaanza mara moja.

 

Wateule wote wataapishwa kesho mchana Ikulu, Jijini DSM

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment