Responsive image
Responsive image
Posted : March 22, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Rose Mhando
Responsive image

Baadaya msanii Rose Mhando kukaa kwa muda mrefu bila kusikika  sasa msanii huyo atazindua  albam yake ya RUTU wakati wa Tamasha La Pasaka lilopangwa kufanyika April 16 mwaka huu uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.

 

Mwandaaji wa Tamasha hilo Alex Msama amesema mbali na Rose Mhando kuzidua albamu yake pia kwaya  mbalimbali zitashiriki tamasha hilo.

 

 

Tamasha hilo la muziki wa Injili limepangwa kufanyika kwenye uwanja wa Uhuru Jijni Dar es salaam pia litafanyika uwanja wa Jamhuri  mkoani Morogorogo na mikoa  mingine kumi hapa nchini.

 

 

CHETO NJEDENGWA

MACHI 21, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment