Responsive image
Responsive image
Posted : March 18, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Tamasha la Pasaka, Miaka iliyopita.
Responsive image

Mkoa wa Dodoma ni mmoja wa mkoa ambao tamasha la pasaka litafanyika baada ya kufanyika jijini DSM april 16 ya mwaka huu.

 

Mwandaaji wa tamasha hilo Alex Msama amesema baada ya BASATA kutoa ruhusa ya kufanyika kwa tamasha hilo tayari baadhi ya wasanii kuthibitisha ushiriki wao.

 

Masanii Jesca Honore ndiye msanii wa kwanza kuthibitisha ushiriki wake

 

 

 

EVANCE MHANDO

MACHI 17, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment