Responsive image
Responsive image
Posted : March 17, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Jesca Honore, Msanii wa kwanza kuthibitisha ushiriki wake katika Tamasha la Pasaka.
Responsive image

Baraza la sanaa la Taifa Basata limetoa kibali cha kuendesha tamasha la pasaka lililopangwa kufanyika  april 16 mwaka huu katika uwanja wa Uhuru Jijini Dar es salaam.

 

Mwandaaji wa tamasha hilo Alex Msama amesema baada ya basata kutoa ruhusa ya kufanyika kwa tamasha hilo baadhi ya wasanii walishaanza kuthibitisha ushiriki wao.

 

Msanii Jesca Honore ndiye msanii wa kwanza kuthibitisha ushiriki wake ambapo pia tamasha hilo litafanyika makao makuu ya chama na serikali Dodom.

 

 

JANE JOHN

MACHI 16, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment