Responsive image
Responsive image
Posted : March 10, 2017 (11 months ago) By TBC
Responsive image
Muandaaji wa Tamasha la muziki wa Injili la kila mwaka maarufu kwa jina la Tamasha la Pasaka, Alex Msama.
Responsive image

Tamasha la muziki wa Injili la kila mwaka maarufu kwa jina la Tamasha la Pasaka limepangwa kufanyika April 16 jijini DSM.

 

Muandaaji wa Tamasha hilo, Alex Msama amesema maandalizi yanaendelea na ameshapata kibali kutoka serikalini.

 

Wasanii mbali mbali wa muziki wa Injili kutoka ndani na nje ya nchi watashiriki kwenye tamasha hilo la mwaka huu.

 

 

EVANCE MHANDO

MACHI 09, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment