Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Maadhimisho ya sherehe za muungano yatapambwa na gwaride la heshima kutoka vikosi vya ulinzi na usalama nchini
Responsive image

Rais Dkt. John Pombe Magufuli anatarajiwa kuwaongoza watanzania katika maadhimisho ya miaka 53 ya Muuungano wa Tanganyika na Zanzibar yatakayofanyika Tarehe 26 mwezi huu Mjini Dodoma.

Taarifa ya Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu Sera Bunge Ajira Vijana na watu wenye Ulemavu Jenista Mhagama amesema maadhimisho hayo yatapambwa na gwaride la heshima kutoka vikosi vya ulinzi na usalama,  onesho la makomandoo, farasi na mbwa pamoja na vikundi vya burudani.

Amewataka wakazi wa Dodoma na maeneo ya jirani kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa Jamhuri siku hiyo ya maadhimisho.

 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment