Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Raia wa Uingereza
Responsive image

Wananchi wa Uingereza wanatarajiwa kupinga kura kuwachagua viongozi wapya watakaoliongoza taifa hilo tarehe nane mwezi Juni baada ya bunge la nchi hiyo kupinga kura ya kufanyika mapema uchaguzi mkuu.

Mapema Waziri Mkuu wa Uingereza, Thereza May aliomba bunge kupiga kura ili litoe maamuzi siku ya kufanyika kwa uchaguzi wa nchi hiyo na kusema kuwa hatua hiyo itapunguza mgawanyiko nchini humo.

Mgawanyiko huo ni kuhusu watu wanaounga mkono Uingereza kujitoa kwenye Umoja wa Ulaya na wale wanaopinga.

Thereza May amesema Uingereza inahitaji mambo matatu, uchumi imara, ulinzi imara na uongozi imara usioyumba

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment