Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Responsive image

Wahamiaji hapa nchini wametakiwa kuhakiki vibali vyao ya makazi ndani ya siku 90 kabla ya serikali kuchukua hatua.

Agizo hilo limetolewa na Kamishna Jenerali wa Uhamiaji Dkt.  Anna Makalala wakati wa uzinduzi wa mfumo mpya wa uhakiki kwa njia ya kielektroniki ujulikanao kama  E-Verification.

Aidha waajiri na wamiliki wa kampuni na wote wenye vibali vya ukaazi wameombwa kutoa ushirikiano katika kipindi cha zoezi hili na kusisitiza wadau wote kufika katika ofisi za uhamiaji zilizopo nchini pasipo kutumia mawakala.

 

 

BAKARI MWARABU

APRILI 20, 207

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment