Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Kocha wa timu ya Bayern Munich Carlo Ancelotti
Responsive image

Kocha wa timu ya Bayern Munich Carlo Ancelotti amemshukutumu muamuzi Viktor Kassai kuwa alichezesha mchezo wao wa robo fainali dhidi ya Real Madrid  hakufanya kazi yake ipasavyo na kwamba sasa anatamani kuona technologia ya picha za video ikitumika.

Kocha huyo muitaliano amesema wachezaji wake walipambana ipasavyo ila muamuzi huyo toka Hungari aliawangusha kwa maamuzi yake ya utata.

Kiungo Arturo Vidal alitolewa njee na muamuzi huyo baada ya kupewa kadi ya pili ya njano huku Cristiano akifunga goli kwenye offsise kwenye dakika za nyongeza kitu ambacho kimemkela sana Carlo Ancelotti.

Aidha kocha huyo ameongeza kuwa pamoja na maamuzi hayo mabovu ya muamuzi huyo hana hakina kama  yanamkono wa timu ya Real Madrid bali muamuzi mwenyewe tu hakuna makini na kazi yake.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment