Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TIC CLIFORD TANDARI
Responsive image

Kituo cha uwekezaji nchini TIC kimesajili miradi ipatayo  228 yenye thamani ya dola za Marekani bilioni 883 katika mwaka wa fedha wa 2016/2017.

Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TIC CLIFORD TANDARI ameitaja baadhi ya miradi hiyo kuwa ni  kiwanda cha vigae kinachojengwa Chalinze mkoani Pwani na viwanda vya kusindika matunda vinavyojengwa katika mikoa mbalimbali nchini.

TANDARI amesema idadi kubwa ya viwanda hivyo viko  katika mkoa wa Pwani.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment