Responsive image
Responsive image
Posted : April 20, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
hafla ya uzinduzi wa mabalozi wa usalama barabarani Zanzibar
Responsive image

Makamu wa Pili wa Rais Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi ameagiza kuchukuliwa hatua za kisheria dhidi ya madereva wanaokiuka sheria za usalama barabarani na kuhatarisha maisha ya abiria na wananchi kwa ujumla.

Balozi Seif ametoa kauli hiyo mjini Unguja wakati wa hafla ya kuzindua wa mabalozi wa usalama barabarani Zanzibar.

Naye, Mwakilishi wa mabalozi usalama barabarani kutoka Tanzania Bara, John Seka ametoa wito kwa mabalozi wenzake upande wa Zanzibar kutumia simu na mitandao ya kijamii kutoa taarifa za matukio yanayoendelea barabarani.

 

 

SWAUMU MAVURA

APRILI 20, 2017

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment