Responsive image
Responsive image
Posted : April 19, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
wanafunzi kutoa mifugo kama ada nchini Zimmbabwe
Responsive image

Zimbabwe inasherehekea miaka 37 tangu kupata uhuru chini ya rais Robart Mugabe  mwenye unmri wa miaka 93.

 Maadhimisho hayo yanafanyika kipindi ambacho Zimbabwe inakabiliwa na kushuka thamani kwa pesa yake hatua iliyosabisha  wizara ya elimu nchini humo kutangaza ada zilipwe kwa mfumo wa mifugo.

Katibu mkuu wa wizara hiyo, Sylvia Utete-Masango alinukuliwa na vyombo vya habari akisema wameandaa mfumo kwa wanafunzi kutoa mifugo kama ada kwa maeneo ya vijijini huku mijini wazazi watatakiwa kufanya  vibarua maalum mashuleni ili kufidia ada za watoto wao.

 Mugabe ameiongoza Zimbabwe tangu ilipopata uhuru wake mwaka 1980. 


  Viongozi mbalimbali duniani wametuma salama za pongezi kwa nchi hiyo akiwemo rais wa Russia,  Vladimir Putin na malkia wa Uingereza.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment