Responsive image
Responsive image
Posted : April 19, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Katibu mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia biashara na uwekezaji Prof. Adolf Mkenda akijibu hoja za wadau
Responsive image

Wadau wa sekta binafsi nchini TPSF wameiomba serikali kuangalia jinsi ya kupunguza vikwazo vya kibiashara vinavyosababishwa na uwepo wa tasisi nyingi za serikali ambazo zimekuwa zikisimamia majukumu yanayofanana

Wakizungumza kwenye mkutano baina ya TPSF na wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji uliokuwa ukijadili ripoti ya kikosi kilichoundwa kwa ajili ya kuibua changamoto za mazingira ya kibiashara nchini wadau hao wamesema taasisi hizo zinaongeza gharama za upatikaji wa vibali.

Akijibu hoja za wadau hao Katibu mkuu wizara ya viwanda, biashara na uwekezaji, anayeshughulikia biashara na uwekezaji Prof.  Adolf Mkenda amekiri kuwepo kwa hali hiyo na kuahidi  kuanza kufanyia kazi baadhi ya changamoto kwa mwaka ujao wa fedha 

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment