Responsive image
Responsive image
Posted : April 18, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
baadhi ya wachezaji wa yanga
Responsive image

Shirikisho la soka hapa nchini, limefanikisha kuwarejesha nyumbani baadhi ya wachezaji na viongozi wa timu ya Yanga  ambao walikwama nchini Algeria baada ya kuchelewa ndege siku ya jumapili.

TFF imesema imefanikiwa kuitafutia timu ya Yanga ndege nyingine ambayo walipata nafasi na sasa wapo njiani kurejea nyumbani.

Japo hilo la viongozi na wachezaji wa Yanga waliochelewa ndege watawasili hapa nyumbani Jumanne saa nane mchana.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment