Responsive image
Responsive image
Posted : April 18, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Hilali Hilali amepata nafasi ya kwenda kuweka kambi nchini Thailand kwa muda wa mwaka mmoja.
Responsive image

Shirikisho la mchezo wa kuogelea duniani (FINA) limetoa udhamini wa kambi ya mafunzo ya kuongelea kwa muogeleaji mmoja wa Tanzania, Hilali Hilali ambae amepata nafasi ya kwenda kuweka kambi nchini Thailand kwa muda wa mwaka mmoja.

Katibu mkuu wa chama cha kuogelea Tanzania (TSA),Ramadhani Namkoveka na muogeleaji mwenyewe HILALI HILALI wamesema kambi hiyo itamsaidia kufanya vyema kwenye mashindano yajayo ya kimataifa. Mashindano ambayo timu ya taifa ya kuogelea ya Tanzania, itashiriki ni ya Jumuiya ya Madola yatakayofanyika nchini Australia mwakani na yale ya Olympiki yatakayofanyika Tokyo Japan mwaka 2020.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment