Responsive image
Responsive image
Posted : April 16, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Zaidi ya watu ishirini wamekamatwa kufuatia mapigano yaliyozuka nchini Marekani kati ya wafuasi wa Rais Donald Trump na wale wanaompinga.
Responsive image

Zaidi ya watu Ishirini wamekamatwa katika Mji wa Berkeley, California Marekani baada ya kutokea mapigano kati ya wafuasi wa Rais Donald Trump na wale wanaompinga.

 

Watu kadhaa wamejeruhiwa katika mapigano hayo.

 

Mapigano hayo yameibuka wakati wa maandamano ya kushinikiza uhuru wa kutoa maoni na kumtaka Rais Donald Trump aonyeshe makato ya kodi katika biashara zake.

 

Rais Trump ambaye kabla ya kugombea urais alikuwa ni mfanyabiashara maarufu mwenye vitega uchumi mbalimbali duniani.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment