Responsive image
Responsive image
Posted : April 16, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Uuzaji wa CD za wasanii wa nje kwa bei ya chini ni changamoto kwa soko la kazi za wasanii hapa nchini.
Responsive image

Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam  Paul Makonda amemweleza Rais Dkt.  John  Magufuli kuwa wiki ijayo uongozi wa mkoa wa Dar es salaam unaanza oparesheni ya kusaka wafanyabiashara wanauza CD kwa bei rahisi kutoka nje ya nchi.

 

Makonda amesema kuruhusu CD za wasanii wa nje ziunzwe nchini kwa bei rahisi bila kufuata utaratibu zinasababisha kuua soko la kazi za wasanii hapa nchini.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI
Ladies Fashionshadidy usseni  |  8 months ago   |   August 17, 2017
"apo sawa tu,"

Leave Your Comment