Responsive image
Responsive image
Posted : April 14, 2017 (12 months ago) By TBC
Responsive image
Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa akizungumza wakati wa kongamano la Mwalimu NYERERE
Responsive image

Wizara ya Elimu Sayansi na Teknolojia imetakiwa kuangalia upya mitaala ya elimu ili kuwawezesha vijana wa kitanzania kuifahamu vyema historia ya Taifa lao.

Akizungumza katika kongamano la Mwalimu NYERERE, Rais Mstaafu Mzee Benjamin Mkapa ameonesha kutoridhishwa kwake na mitaala ya elimu juu ya historia ya nchi.

Pia ametoa wito kwa chuo cha kumbukumbu ya mwalimu NYERERE kuhakikisha mafunzo waliyoanzisha kwa ajili ya viongozi yanakwenda sambamba na kasi ya mabadiliko ya dunia.

 

ELISHA ELIA

April 13

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment