Responsive image
Responsive image
Posted : April 14, 2017 (one year ago) By TBC
Responsive image
Kiongozi wa upinzani nchini Zambia, Hakainde Hichilema.
Responsive image

Kiongozi wa upinzani nchini Zambia, Hakainde Hichilema, ambaye ametiwa mbaroni kwa tuhuma za kuhusika na vitendo vya uhaini, amesema serikali ya nchi hiyo imemzuia kukutana na mawakili wake.

Hichilema, amekamatwa baada ya gari lake kukatisha msafara wa Rais, tukio inalosemekana alilitenda siku mbili kabla ya kukamatwa.

Anadai polisi wamekuwa wakiwazuia mawakili wake kukutana na familia yake, jambo ambalo askari hao wamelikanusha.

Responsive image
HABARI ZINAZOHUSIANA
MAONI YA WASOMAJI

Leave Your Comment